Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa Haji Gavi amesema kadi za uanachama za chama hicho zitaweza kutumika kwa huduma nyingine ikiwamo kufanya miamala ya kifedha.
Amesema mbali na miamala ya fedha, kwa wanaotumia huduma za Bima ya Afya wataweza kuitumia kadi hiyo pamoja na wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Akizungumza katika kikao cha balozi shina namba saba, katika Kijiji cha Ilambilole, Jimbo la Isimani, Gavi amesema huduma hizo ndizo zilizosababisha kuchelewa kwa kadi hizo.
SOMA HAPA ZAIDI CHANZO MWANANCHI.