SHEREHE YA KUPONGEZANA MIAKA 30 YA MISA TANZANIA YAFANA


Mkurugenzi wa MISA Tanzania, Elizabeth Riziki na  Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Salome Kitomari (kulia) wakiwa kwenye hafla hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
Zoezi la kukata Keki likiendelea wakati wa hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
Wanachama na wadau wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Jangwa la Sahara,Tawi la Tanzania MISA Tanzania  wamefanya hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.

Hafla hiyo iliyofanyika Ijumaa Mei 26,2023 Jijini Dodoma imeenda sambamba na kutoa vyeti kwa taasisi za nje,ndani, wanachama wakongwe walioitumikia taasisi kwa muda mrefu na mwanachama chipukizi Kadama Malunde aliyetoa mchango mkubwa kwa taasisi hiyo ndani ya kipindi kifupi.

Aidha, Bodi ya Uongozi na Mkurugenzi wameongoza wanachama kukata keki ya kuadhimisha miaka 30 na uzinduzi kwa jukwaa la tafakuri ya uhuru wa vyombo vha habari, kujieleza na upatikanaji wa taarifa ambalo limesajiliwa kisheria kwa MISA-TANZANIA kutekeleza kila mwaka.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkurugenzi wa MISA Tanzania, Elizabeth Riziki akizungumza kwenye hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania. Katikati ni Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Salome Kitomari akifuatiwa na Makamu Mwenyekiti wa Misa Tanzania, Wakili James Marenga
Mkurugenzi wa MISA Tanzania, Elizabeth Riziki akizungumza kwenye hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
Mkurugenzi wa UTPC, Kenneth Simbaya akizungumza kwenye hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
 Mwenyekiti wa MISA Tanzania, Salome Kitomari (kushoto) akimpa cheti cha pongezi Mkurugenzi wa MISA Tanzania, Elizabeth Riziki
Keki Maalumu wakati wa hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
Keki Maalumu wakati wa hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
Furaha ikitawala wakati wa hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
Zoezi la kukata Keki likiendelea wakati wa hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
Zoezi la kukata Keki likiendelea wakati wa hafla ya kupongezana kwa miaka 30 tangu kuanzishwa kwa MISA Tanzania.
Wanachama wa MISA Tanzania wakimpa zawadi ya kitenge Mkurugenzi wa MISA Tanzania, Elizabeth Riziki








Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464