TPA YATOA UFAFANUZI BANDARI YA DAR ES SALAAM


Mbossa aeleza sababu za Tanzania kutaka ushirikiano na DP World ya Dubai

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amefafanua mambo yaliyozingatiwa kabla ya Serikali kusaini mkataba na Serikali ya Dubai kwa ajili ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii katika uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari.


Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amefafanua mambo yaliyozingatiwa kabla ya Serikali kusaini mkataba na Serikali ya Dubai kwa ajili ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii katika uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari.



Mkataba huo uliosainiwa Oktoba 25 mwaka jana kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ili kuendeleza na kuboresha uendeshaji wa miundombinu ya kimkakati ya bandari za bahari na maziwa makuu, maeneo maalumu ya kiuchumi, maegesho ya utunzaji mizigo na maeneo ya kanda za kibiashara.


Kwa sasa uko mkataba huo uko katika hatua za majadiliano kabla ya Bunge la Tanzania kuuridhia.

Soma hapa zaidi chanzo Mwananchi


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464