Header Ads Widget

MWENGE WA UHURU WAANZA KUKIMBIZWA MANISPAA YA SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kushoto) leo akiupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa wilaya ya Kishapu Joseph Mkude.

Aidha, katika Manispaa ya Shinyanga Mwenge huo wa Uhuru utakimbizwa umbali wa Kilomita 72.5 na utaona,kuzindua, kutembelea na kuweka Mawe ya Msingi  Miradi 10 ya Maendeleo ikiwa na gharama ya Sh.bilioni 2.07.

Aidha, Mwenge wa uhuru katika Mkoa wa Shinyanga umeanza kukimbizwa jana ukitokea mkoani Simiyu.

Post a Comment

0 Comments