Mdude aachiwa kwa dhamana
Mwanasheria wake, Philipo Mwakilima amesema leo Jumanne Julai 18, 2023 huku akibainisha mteja wake kupewa barua ya Polisi kutaka kukabidhi simu kwa ajili ya uchunguzi wa kupata ushahidi ili afikishwe Mahakamani.
Mbeya. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limemuachia kwa dhamana Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali, ambaye alishikiliwa tangu Ijumaa Julai 14, 2023.
Akizungumza na Mwananchi jana Jumatatu Julai 17, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga, alithibitisha kuwa kada huyo aliachiwa kwa dhamana majira ya saa asubuhi.
Soma hapa zaidi chanzo Mwananchi.