Wajumbe wa baraza la UWT Mkoa wa Shinyanga wakifurahia jambo kabla hawajaanza kikao hicho katika ukumbi wa CCM Mkoa wa Shinyanga.
Suzy Luhende, Shinyanga press blog
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake UWT mkoa wa Shinyanga Grace Bizulu amewataka watu wanaopenda kujipendekeza na kuchonganisha kwa wabunge, waache mara moja tabia hiyo, kwani kufanya hivyo kunasababisha mpasuko mkubwa ndani ya jumuiya na CCM.huku akiwataka makatibu wafanye kazi kwa weledi katika kuitumikia jumuiya na Chama.
Hayo ameyasema leo wakati akizungumza na wajumbe wa baraza la UWT Mkoa wa Shinyanga, lililofanyika katika ukumbi mdogo wa CCM mkoa, ambapo amesema kuna baadhi ya watu wamekuwa wakijipendekeza kwa wabunge na kuchonganisha, hali ambayo imekuwa ikisababisha mpasuko mkubwa kwa wabunge na wanachama.
Bizulu amesema uchaguzi umeisha, kila mmoja afanye majukumu yake ya kazi haitakiwi tena kupigana mikumbo, ifikie sehemu kila mmoja ampende mwenzake na kuweza kukisemea vizuri chama cha mapinduzi na kusikiliza kero zilizopo kwenye jamii na kuzitatua kwa sababu wote ni watoto wa mama mmoja CCM na tunasimamia ilani ya Chama.
"Imefikia wakati tunaanza kurekodiana mmezidi hiyo tabia niwaombe muache mara moja, nikimjua mtu anayechonanisha nitamwambia katibu asimualikie kwenye vikao vyangu, tuweni na hofu ya Mungu tupendane pale tunapokosea tuambizane tusiendekeze majungu hayajengi yanabomoa,"amesema Mwenyekiti Bizulu.
"Niwaombe ndugu zangu tuwe na upendo na mshikamano tusiwe wabomoaji wanaopenda kuvuruga na kujipendekeza, kwani watu wanaofanya hivyo wanatuharibia mkoa wetu na kuonekana hatuna ushirikiano na umoja, ndiyo maana tunashindwa kupata wageni wakubwa kwa sababu ya watu wachache wanaopenda kujipendekeza, amesema Bizulu.
"Sisi kina mama tunatakiwa tuwe na upendo na mshikamano,tufanye kazi kama tulivyoahidi wakati tunaomba kura kwa wananchi, niombe huu wakati mniache nifanye kazi, kwa kushirikiana na wabunge wangu wote, sitaki mambo ya ubaguzi tusibaguane kwamba huyu ni wa nani na huyu ni wanani tufanye kazi kwa pamoja, wale waomba fedha watafute njia zingine za kushawishi sio kusema uongo," ameongeza Bizulu.
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Shinyanga Santiel Kilumba amewaomba wanawake watoe ushirikiano ili kuhakikisha wanajenga nyumba ya katibu wa UWT na ofisi ya wabunge kwani wabunge hawapo nyuma katika kufanya maendeleo.
Katibu wa UWT mkoa wa Shinyanga Asha Kitandala wakati akiwa na wajumbe wa baraza wakikagua ujenzi wa nyumba ya katibu wa UWT mkoa inayojengwa katika maeneo ya Bushushu kata ya Lubaga amesema tayari wameanza ujenzi leo ambao utachukua siku 16 kufikia tarehe 12, 8, 2023 litakuwa tayari watabaki kupauwa tu, ambapo pia katika eneo hilo watajenga vibanda nane kwa ajili ya biashara.
"Niwaombe kina mama kama alivyosema mwenyekiti wetu kweli tupendane niombe tushirikiane na wabunge wetu wote na tuwapende wote ili tuweze kufanya vitu vizuri tusibaguane na kuchongeana, Shinyanga tushikamane wabunge wetu wamechangia fedha nyingi katika ujenzi huu, ambapo Lucy Mayenga kachangia Sh 1. Milioni na Santiel kachangia Sh 1 milioni na wabunge wengine watatoa tuendelee kushirikiana nao"amesema Kitandala.
Kwa upande wake mjumbe wa baraza la UWT Taifa Christina Gule amewaomba wanawake kuendelea kuwa na ushirikiano ili waweze kufanya mambo makubwa ndani ya CCM waendelee kutatua kero mbalimbali, wakishirikiana na wabunge,katika kuinua maendeleo ya jumuiya na chama.
"Wabunge wetu tunawapenda sana karibuni sana mjisikie vizuri kinachotakiwa ni kuwa na ushirikiano, sasa mkoa wetu umetulia tuendelee kumuomba Mungu aendelee kutusimamia ili tuweze kufanya mambo makubwa ndani ya CCM, tuendelee kutatua kero mbalimbali wabunge wetu njooni tufanye kazi ya UWT kina mama tupo kwa ajili ya kufanya kazi,amesema Gule
"Ni heshima kubwa kuanzisha ujenzi huu, kwani toka ianzishwe UWT mkoa wa Shinyanga haijawahi kujengwa nyumba ya katibu wa UWT, na sasa tunaendelea kujenga tunawashukuru chama mkoa kwa kuendelea kutusapoti na tunawashukuru wabunge wetu kwa kuendele kutushika mkono tumeanza leo kujenga, niwaombe wajumbe wa baraza tuendelee kutafuta fedha ili nyumba hii imalizike kwa wakati,"amesema Gule.
Kikao cha baraza la UWT Mkoa wa Shinyanga kimefanyika leo katika ukumbi mdogo wa CCM Mkoa, ambapo pia wajumbe wa baraza hilo waliambatana na mbunge viti maalumu Santel Kilumba kwa ajili ya kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba ya katibu katika maeneo ya Bushushu manispaa ya Shinyanga.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Shinyanga Grace Bizulu akizungumza kwenye kikao cha baraza la UWT Mkoa

Katibu wa UWT Mkoa wa Shinyanga Asha Kitandala akizungumza kwenye kikao cha baraza la UWT Mkoa wa Shinyanga

Mbunge viti maalumu Mkoa wa Shinyanga Lucy Mayenga akizungumza kwenye baraza la UWT Mkoa wa Shinyanga

Mbunge viti maalumu Mkoa wa Shinyanga Santiel Kilumba akizungumza kwenye baraza la UWT Mkoa wa Shinyanga

Mjumbe wa baraza UWT Taifa Christina Gule akizungumza kwenye kikao cha UWT Mkoa wa Shinyanga
Mwenyekiti wa UWT wilsya ya Shinyanga mjini Rehema Nhamanilo akizungumza kwenye kikao cha baraza mkoa
Katibu wa UWT wilaya ya Shinyanga Sharifa Hassan Mdee akizungumza kwenye kikao cha baraza mkoa wa Shinyanga
Katibu wa UWT wilaya ya Shinyanga akizungumza kwenye kikao cha baraza
Katibu wa UWT wilaya ya Kishapu akizungumza kwenye kikao cha baraza
Katibu wa UWT wilaya ya Kahama akizungumza kwenye kikao cha baraza
Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT mkoa Hamisa Magulu akizungumza kwenye kikao cha baraza
Mjumbe wa baraza mkoa akizungumza kwenye baraza
Mjumbe wa baraza la UWT mkoa wa Shinyanga akizungumza kwenye baraza

Wajumbe wa barazala mkoa Picca Chogelo na Sheila Mshandete wakiwa kwenye baraza la mkoa UWT
Mjumbe wa baraza la UWT Mkoa Moshi Kanji akizungumza kwenye baraza la Mkoa
Mjumbe wa baraza la UWT mkoa Ester makune akizungumza kwenye baraza la mkoa
Mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT Mkoa wa Shinyanga Sofia Butondo akizungumza kwenye baraza
Mjumbe wa baraza la UWT mkoa wa Shinyanga akiwa kwenye baraza
Wajumbe wa UWT mkoa wakiwa kwenye baraza hilo
Katibu wa UWT mkoa wa Shinyanga Asha Kitandala akiwaonyesha wajumbe kinapokomea kiwanja hicho
Katibu wa UWT mkoa wa Shinyanga Asha Kitandala akitoa maelekezo ya kiwanja cha UWT Mmkoa wa Shinyanga
Wajumbe wa baraza la UWT mkoa wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye kiwanja cha UWT mkoa

Mbunge viti maalumu Santiel Kilummba akizungumza na wajumbe wa baraza kwenye kiwanja cha UWT
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Shinyanga akitoa maelekezo kwa wajumbe wa baraza

Mbunge viti maalumu Santiel Kilummba akitoa mchanga kwenye shimo la kujengea msingi wa nyumba ya katibu wa UWT mkoa

Katibu wa UWT Shinyanga vijijini akiendelea na kazi kwenye ujenzi wa nyumba ya katibu UWT mkoa
Wanawake wakiendelea na kazi
UWT mkoa kazi kazi
Mwenyekiti wa UWT wilaya ya Shinyanga Rehema Nhamanilo akiwa na mjumbe wa kamati ya utekelezaji UWT mkoa wa Shinyanga Sofia Butondo wakipiga kazi
Mwanamke huyu nae hakuwa nyuma kazi ni kazi
UWT mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye picha ya pamoja

UWT mkoa wakiwa kwenye kikao cha baraza