UMOJA WA MAWAKALA WA HUDUMA ZA KIFEDHA WAZINDULIWA SHINYANGA

UMOJA WA MAWAKALA WA HUDUMA ZA KIFEDHA WAZINDULIWA SHINYANGA

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

UMOJA wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga umezinduliwa Rasmi.

Umoja huo umezinduliwa leo Agost 3, 2023, na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi.

Katibu Msaidizi wa Umoja huo Kwilasa Mahigu akisoma Risala kwa mgeni Rasmi, amesema umeanzishwa Februari 1 mwaka huu baada ya kutokea kwa tukio la Wakala mwenzao Richard Nzumbi kuvamiwa na majambazi na kisha kuuawa.
Mkuu wa wilaya Shinyanga Johari Samizi (kulia)akimkabidhi Hati ya Usajili kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Juliana Shilatu,

Amesema baada ya tukio hilo, ndipo Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga wakafikilia kuanzisha umoja huo, kwa ajili ya kuwa na sauti ya pamoja, na mpaka sasa kuna wanachama 111 na umoja wao wamesajiliwa.

“Malengo ya umoja huu ni kuwa na sauti ya pamoja, kuanzisha Ofisi ya Uwakala Mkuu kwa lengo la kusaidia Mawakala katika utendaji wa kazi za uwakala, kutoa huduma kwenye maafa, ugonjwa na sherehe kwa wana umoja, kuhamasisha jamii juu ya matumizi ya huduma za kibenki katika kuhifadhi fedha zao,”amesema Kwilasa na kuongeza kuwa
Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Juliana Shilatu (kulia) akimkabidhi Cheti cha Shukrani Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi.

“Kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo zikiwemo taasisi za kifedha na Serikali, kutoa mikopo kwa wanaumoja kupitia Umoja SACCOS, kufanya utafiti juu ya kutokomeza umaskini na migogoro miongoni mwa jamii, na kushiriki kama wadau wa maendeleo katika shughuli zinazolenga kusaidia jamii kukabiliana na maafa.”

Aidha amesema mbali na malengo hayo, kwamba kupitia umoja wao umekuwa ni jukwaa muhimu kwa Mawakala kupeana taarifa zinazohusu usalama wa fedha zao na maisha kwa ujumla.

Katika hatua nyingine ametaja changamoto ambazo zinawakabili Mawakala, kuwa ni ukatwaji wa Commission kwa baadhi ya Makampuni ya simu hasa wanapotuma fedha kwa wateja ambao wapo mbali, na wakati wao hawajui huyo mteja kama yupo mbali au karibu sababu hupewa namba za simu tu.

Ametaja changamoto nyingine, kuwa kuna baadhi ya Taasisi za kifedha wanapokosea muamala na ili kurudishiwa inachukua muda mrefu ndani ya miezi mitatu jambo ambalo linaathiri utendaji wao kazi.

Pia, wameziomba Taasisi za kifedha kuona namna ya kuwakopesha Mawakala, ili wapate mitaji ya kutosha na kupanua wigo wa utoaji wao wa huduma kwa wananchi hadi ngazi za chini.

Naye Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Johari Samizi amewapongeza Mawakala hao kuanzisha umoja huo, huku akitoa pole kwa kumpoteza mwenzao ambaye aliuawa na Majambazi, na kuwasihi wajiimarishe pia katika suala la ulinzi sababu shughuli zao zinahusisha pesa.

Amesema Serikali inatambua mchango mkubwa wa Mawakala katika kuhudumia jamii hadi maeneo ya vijijini, na pia hata makusanyo ya fedha za mapato ya Serikali katika maeneo hayo hukusanywa kupitia Mawakala.

Samizi pia ameziomba Taasisi za kifedha kuangalia namna ya kuwasaidia mitaji Mawakala hao, sababu kazi ambazo wanazifanya wanahusiana, huku akiwataka Mawakala hao kupitia Umoja wao waje waanze kukopeshana kupitia michango yao na hatimaye kukua kimitaji.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akizungumza kwenye uzinduzi wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga.
Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Juliana Shilatu akizungumza.
Katibu wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Happyness Kihama akizungumza.
Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Kwilasa Mahigu akisoma Risala.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga Luther Mneney akizungumza kwenye uzinduzi huo wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga. .
Meneja wa Benki ya TCB Tawi la Shinyanga Julias Mataso akizungumza kwenye uzinduzi huo wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga.
Meneja Biashara kutoka Benki ya NBC Legani Daudi akizungumza kwenye uzinduzi huo wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga.
Wadau wakiendelea kuzungumza.
Mmoja Wakala wa huduma za kifedha Suleiman Tofiki akitoa neno la Shukrani.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akikata utepe kuzindua Rasmi Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akikata utepe kuzindua Rasmi Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akionyesha Hata ya Usajili na Katiba ya Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kulia) akimkabidhi akimkabidhi Hati ya usajili Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Juliana Shilatu.
Viongozi wa Taasisi za kifedha wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi(kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Juliana Shilatu.
Mawakala wa huduma za kifedha wakiwa kwenye uzinduzi wa umoja wao.

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kulia) akimkabidhi Cheti cha Shukrani Katibu wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Happyness Kihama.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kulia) akimkabidhi Cheti cha Shukrani katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga kilichopokelewa na Afisa Elimu.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kulia) akimkabidhi Cheti cha Shukrani kwa Taasisi ya kifedha Benki ya CRDB
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kulia) akimkabidhi Cheti cha Shukrani kwa Taasisi ya kifedha Benki ya NMB.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kulia) akimkabidhi Cheti cha Shukrani kwa Taasisi ya kifedha Benki ya NBC.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kulia) akimkabidhi Cheti cha Shukrani kwa Taasisi ya kifedha Benki ya TCB.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akiendelea kutoa vyeti vya Shukrani kwa kampuni za Simu.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kulia) akimkabidhi Cheti cha Shukrani akiendelea kutoa vyeti vya shukrani.
Awali Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Juliana Shilatu (kulia) akimpokea Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi kwa ajili ya kuwazindulia Umoja wao.
Katibu wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Happyness Kihama, akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi alipowasiliwa kuzindua Umoja wao.
Viongozi wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga wakiendelea kusalimiana na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi.
Viongozi wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga wakiendelea kusalimiana na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi (kushoto) akipiga picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa huduma za kifedha Shinyanga Juliana Shilatu.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464