MAKAMBI YA WAADVENTISTA WASABATO MTAA WA SHINYANGA MJINI YAMEHITIMISHWA,WAUMINI WASISITIZWA KUMTOLEA BWANA ZAKA NA SADAKA

Makambi ya Kanisa la Waadventista Wasabato Mtaa wa Shinyanga Mjini yamehitimishwa

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

KANISA la Waadventista Wasabato Mtaa wa Shinyanga Mjini wamehitisha juma la Siku kuu ya vibada (Makambi) ambayo yalikuwa na mafundisho mbalimbali ya Neno la Mungu.

Makambi hayo hufanyika kila mwaka katika Makanisa ya Waadventista Wasabato, ambapo Mtaa wa Shinyanga Mjini yalianza Agost 6 mwaka mwaka huu na yamehitishwa leo Agosti 12, 2023, huku Mchungaji wa Kambi hilo akiwa ni Lucas Nzungu Rugemalila.

Akitoa Mahubiri wakati wa Ibada ya kuhitimisha Makambi hayo Mchungaji Rugemalila, amewasisitiza waumini kuendelea kumtolea Bwana Zaka na Sadaka ili wapate Mibaraka yake, pamoja na kuishi na Roho Mtakatifu ili kutenda mema na kuacha dhambi.

Aidha, Motto wa Makambi hayo unasema"Nitakwenda kwa kujihusisha".
Mchungaji wa Kambi la Waadventista Wasabato Mtaa wa Shinyanga Mjini Lucas Nzungu Rugemalila akitoa Mahubiri katika Kambi hilo.
Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Mtaa wa Shinyanga Mjini Lazaro Mbogo akizungumza katika Makambi hayo.
Wachungaji wakiwa kwenye Makambi ya Waadventista Wasabato Mtaa wa Shinyanga Mjini.

Waumini wakiwa kwenye Makambi
Waumini wakiwa kwenye Makambi.
Waumini wakiwa kwenye Makambi.
Waumini wakiwa kwenye Makambi.
Waumini wakiwa kwenye Makambi.
Waumini wakiwa kwenye Makambi.
Waumini wakiwa kwenye Makambi.
Waumini wakiwa kwenye Makambi wakiendelea na Ibada.

Ibada ya Makambi ikiendelea.
Waumini wakiwa kwenye Makambi wakiendelea na Ibada.
Waumini wakiwa kwenye Makambi wakiendelea na Ibada.
Ibada ikiendelea katika Makambi.

Kwaya ya Nyakato kutoka Jijini Mwanza ikiimba katika Makambi hayo.
Kwaya ya Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini (SAC) ikiimba katika Makambi hayo.
Kwaya ya Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini (SAC) ikiendelea kuimba katika Makambi.
Wanakwaya wa (SAC) wakiendelea kuimba katika Makambi.
Kwaya ya Kanisa la Wasabato Kizumbi wakiimba katika Makambi hayo.
Kwaya ya Kanisa la Wasabato Kizumbi ikiendelea kuimba katika Makambi hayo.
Kwaya ya ziekiendelea kuimba katika Makambi hayo.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464