MAWAKILI WALIVYOCHUANA KESI YA MKATABA WA BANDARI


Mawakili walivyochuana kesi ya mkataba wa bandari

 Sehemu ya pili ya uchambuzi huu wa kesi ya Mkataba wa IGA, maarufu mkataba wa bandari, tuliona jinsi wakili wa wadai, Mpale Mpoki alivyochambua hoja ya kwanza kama wananchi walishirikishwa ipasavyo kutoa maoni kabla ya kuridhiwa na Bunge.

Leo tunaendelea na wakili wa upande wa walalamikaji, Boniface Mwabukusi. Fuatilia sehemu hii.

Wakili Mwabukusi: Waheshimiwa majaji mimi nitawasilisha (hoja) katika kiini namba moja; halafu nitazungumzia namba nne na tano kwa pamoja.

Soma hapa zaidi chanzo Mwananchi.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464