ANATAKA TURUDIANE AKIDAI MIMBA NI YAKE NIFANYAJE


Anataka turudiane akidai mimba ni yake nifanyaje?

Jina langu ni Husna kutokea Mombasa, niliolewa mwaka 2010 huku huku Mombasa nikiwa kama mke wa pili kwa mume wangu ambaye mke wake wa kwanza alikuwa ameshajaliwa naye watoto wawili.

Hii ni ndoa ambayo nilipitia mambo mengi sana kiasi kwamba kamwe siwezi kuja kusahau kabisa maishani mwangu, hiyo ni kutokana sikuweza kubeba ujauzito mapema kama ambavyo mume wangu alitarajia.

Baada ya miaka kama mitatu ndani ya ndoa, mume wangu alianza kupunguza mapenzi aliyokuwa akinipa na kunionyesha kama mke mdogo, mara nyingi alikuwa akikaa zaidi na mke mkubwa.

Hata wiki moja ilikuwa inaisha bila ya yeye kunigusa, kuna kipindi nilikuwa naletewa maneno na marafiki zangu kuwa mke mkubwa anasema ndoa muda sio mrefu itanishinda kwa sababu mimi sizai.

Ni kauli ambayo iliuvunja sana moyo wangu na kutokwa na machozi, nilijiuliza kosa langu ni lipi, kila mtu aliona mimi ndio mwenye tatizo kwa sababu mume wangu tayari alikuwa amejaliwa mtoto.

Haikupita muda mume wangu aliamua kunipa talaka, nilirejea kwetu kwa unyonge sana na aibu, nilimueleza shangazi yangu kuhusu tatizo langu la kutoshika mimba.

Nashukuru alinifariji sana na kuniambia African Doctors anaweza kunisaidia na maana wengi waliokuwa na tatizo kama langu wamepona kupitia yeye.

Shangazi alinipatia namba yake huyo African Doctors na baada ya siku mbili niliamua kuwasiliana naye, baada ya maongezi tulihitimisha kuwa nifike ofisini kwake mjini Kericho. Basi nilipoenda ndipo nikaonana naye kwa mara ya kwanza na akanihudumia vizuri na kunihakikishia nitapata mtoto.

Wakati huu nilikuwa na Boyfriend tu, katika mambo yetu yale basi nakijikuta nimebeba ujauzito wa huyu Boyfriend wangu ikiwa ni miezi mitatu tangu kuondoka katika ile ndoa.

Sasa cha ajabu mimba yangu ilipofikisha miezi sita, yule mume wangu nafikiri kuna watu walimfikishia habari kuwa mimi ni mjamzito, basi akanipigia simu na kusema hiyo mimba ni yake, nilimkatalia lakini akawa anang'ng'ania kiasi kwamba ikawa ni ugomvi. Je, nifanyaje?.

Kumbuka African Doctors ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Pia anatibu magonjwa kama kaswende, kisonono, kifua kikuu, presha, kifafa, upungufu wa nguvu za kiume, kuvimba miguu, kaswende, vile vile anawezesha wanawake kubaba ujautizo, wanaume kutungisha mimba n.k.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464