MAHAFALI YA DARASA LA AWALI NA LA SABA SHULE YA MCHEPUO WA KIINGEREZA OLA YAFANA
Wapongezwa kufanya vizuri Kitaaluma.
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
MAHAFALI ya darasa la Awali na la Saba katika shule ya Mchepuo wa Kiingereza OLA Pre and Primary School iliyopo Bugisi Kata ya Didia wilayani Shinyanga yamefana, huku wakipongezwa kufanya vizuri Kitaaluma.
Mahafali hayo yamefanyika leo Septemba 23,2023 shuleni hapo ikiwani Mahafali ya tatu kwa darasa la Saba, na Mahafali ya10 ya awali ya pili, ambayo yamehudhuliwa na wazazi pamoja na viongozi mbalimbali.
Mgeni Rasmi Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Andrew Mitumba, akizungumza katika Mahafali hayo, imeipongeza shule hiyo kwa kufanya vizuri Kitaaluma kwa wanafunzi wake kupata matokeo mazuri ya mitahani yao ya kuhitimu darasa la saba.
Afisa Elimu Msingi Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Andrew Mitumba.
Amesema anajivunia kuwa na shule hiyo ya OLA Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga,sababu imekuwa ikimpatia matokeo mazuri ya Kitaaluma,na kuahidi kwamba Serikali itaendelea kushirikiana nao katika kutimiza ndoto za wanafunzi.
"Kuanzia leo nimekuwa mwanafamilia wa Shule hii ya OLA,sababu mmekuwa mkifanya vizuri Kitaaluma na ninajivunia kuwa na shule hii hapa Halmashauri," amesema Mitumba.
Ametoa wito kwa wazazi wilayani humo hasa wakazi wa Didia watumie fursa ya shule hiyo kupeleka watoto wao kusoma, wakiwamo na wenye ulemavu na siyo kuwaficha ili wakapate elimu na kutimiza ndoto zao.
Naye Afisa Elimu Kata ya Didia Justus Birago, akizungumza wakati akimkaribisha Mgeni Rasmi, ametoa wito kwa wazazi kuwalinda watoto wao ambao wamehitimu darasa la saba, na wasizagae hovyo mitaani wakati wakiendelea kusubili matokeo yao.
Afisa Elimu Kata ya Didia Justus Birago.
Mkuu wa shule hiyo ya OLA Sister Comfort Amevor, amewataka wahitimu wa darasa la saba wakawe mabalozi wazuri majumbani mwao,pamoja na kuwatii wazazi na wasijiingize kwenye makundi mabaya, bali wazingatie maadili mema ambayo wamefundishwa shuleni hapo.
Mkuu wa shule ya OLA Sister Comfort Amevor.
Aidha, Makamu Mkuu wa shule ya OLA Yohana Shija,akisoma Risala ya shule hiyo, amesema ilianzishwa mwaka 2013 ikiwa na wanafunzi 50, lakini hadi sasa ina jumla ya wanafunzi 322, wasichana 163 na wavulana 159.
Makamu Mkuu wa shule ya OLA Yohana Shija.
Amesema shule hiyo imekuwa ikifanya vizuri Kitaaluma,kwamba matokeo ya darasa la saba mwaka jana 2022, wanafunzi waliofanya mtihani walikuwa 21 ambapo wanafunzi 17 walipata daraja "A" na wanafunzi 4 daraja "B"huku ndani ya miaka miwili wakifanikiwa kutoa wanafunzi 10 bora ambao walichaguliwa kujiunga na shule maalumu Kitaifa.
Ametaja pia idadi ya wanafunzi ambao wamehitimu darasa la Awali mwaka huu (2023)kuwa wapo 44 wasichana 25 na wavulana 19, darasa la Saba waliohitimu ni 26, wasichana 16 na wavulana 10.
Nao wahitimu hao wa darasa la Saba, wameshukuru wazazi wao kuwapatia fursa ya kusoma, pamoja na Walimu kuwapatia elimu bora na kuwajengea msingi mzuri wa maisha yao.
Mgeni Rasmi Afisa Elimu shule za Msingi Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Andrew Mitumba, akiwa na Mkuu wa Shule ya OLA Sister Comfort Amevor pamoja na wanafunzi wakikata keki.
Keki.
Mkuu wa shule ya OLA Sister Comfort Amevor, (kulia) akimlisha Keki Mgeni Rasmi Afisa Elimu wa Shule za Msingi wilayani Shinyanga Andrew Mitumba.
Mkuu wa shule ya OLA Sister Comfort Amevor akimlisha keki Mwanafunzi ambaye amehitimu darasa la Awali.
Mkuu wa shule ya OLA Sister Comfort Amevor akimlisha keki Mwanafunzi ambaye amehitimu darasa la Saba.
Mdau wa elimu Josephine Charles akitoa zawadi ya Keki kwa wahitimu wa darasa la Saba katika shule hiyo ya OLA.
Wanafunzi wakitengeneza Juice.
Mgeni Rasmi akinywa Juice ambayo imetengenezwa na wanafunzi.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika Mahafali hayo.
Mkuu wa shule ya OLA Sister Comfort Amevor, akitoa Nasaha kwa wahitimu wa darasa la Saba.
Wahitimu darasa la saba akiangaziwa Mwanga wa Mibaraka.
Wahitimu darasa la saba akiangaziwa Mwanga wa Mibaraka.
Wahitimu darasa la saba wakiapa kwenye kuwa Raia wema wakati wakisubili matokeo yao.
Wahitimu darasa la saba wakiapa kwenye kuwa Raia wema wakati wakisubili matokeo yao.
Wahitimu darasa la saba wakiapa kwenye kuwa Raia wema wakati wakisubili matokeo yao.
Wahitimu darasa la saba wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu darasa la saba shule ya OLA wakiwa kwenye Mahafali
Wahitimu wa darasa la Awali wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu darasa la saba shule ya OLA wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu wa darasa la Awali wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu wa darasa la Awali wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu darasa la saba shule ya OLA wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu wa darasa la Awali wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu wa darasa la Awali wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu darasa la saba shule ya OLA wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu darasa la saba shule ya OLA wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu darasa la saba shule ya OLA wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu darasa la saba shule ya OLA wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu wa darasa la Awali wakiwa kwenye Mahafali.
Wahitimu wa darasa la Awali wakiwa kwenye Mahafali.
Wazazi wakiwa kwenye Mahafali.
Wazazi wakiwa kwenye Mahafali.
Wazazi wakiwa kwenye Mahafali.
Mahafali yakiendelea.
Mahafali yakiendelea.
Mahafali yakiendelea.
Mgeni Rasmi akikabidhi zawadi ya Kiti Mwendo kwa Mwanafunzi mwenye ulemavu ambaye anasoma shule ya OLA.
Mgeni Rasmi Afisa Elimu wa Shule za Msingi Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Andrew Mitumba akigawa vyeti kwa wahitimu wa darasa la Saba.
Zoezi la ugawaji vyeti likiendelea.
Zoezi la ugawaji vyeti likiendelea.
Zoezi la ugawaji vyeti likiendelea.
Zoezi la ugawaji vyeti likiendelea.
Wazazi wakipongeza watoto wao kuhitimu darasa la Saba.
Burudani ikitolewa kwenye Mahafali hayo.
Burudani zikiendelea kutolewa.
Burudani zikiendelea kutolewa.
Burudani zikiendelea kutolewa.
Maonyesho ya Mitindo kwenye Mahafali hayo.
Wahitimu wa darasa la Awali wakiingia ukumbini kwenye Mahafali.
Wahitimu wa darasa la Awali na la Saba wakiingia ukumbini.
Wahitimu darasa la Saba wakiingia ukumbini.
Mgeni Rasmi Afisa Elimu wa shule za Msingi Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga Andrew Mitumba akivalishwa Skafu alipowasili kwenye Mahafali ya Shule ya OLA.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464