BENKI YA CRDB TAWI LA SHINYANGA IMEADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Na Marco Maduhu,SHINYANGA
BENKI ya CRDB Tawi la Shinyanga imeadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, huku akiahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi.
Maadhimisho yao yamefanyika leo Oktoba 2,2023 katika benki hiyo ambayo yatakwenda hadi Oktoba 6 naya mehudhuliwa na wateja wake pamoja na kushiriki kifungua kinywa(Break Fast) na utoaji wa zawadi kwa baadhi ya wateja na Wafanyakazi wa CRDB.
Meneja Tawi la Benki ya CRDB Shinyanga Luther Mneney, akizungumza katika maadhimisho hayo ambayo yatakwenda hadi Oktoba 6, amewashukuru wateja kwa kuendelea kuiamini benki hiyo, huku akiahidi wataendelea na utoaji wa huduma bora zaidi.
"Hii ni wiki ya huduma kwa wateja, na sisi Benki ya CRDB tumeanza kuadhimisha leo na wateja wetu, na tuna ahidi kuendelea kutoa huduma bora zaidi," amesema Mneney.
Naye Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumanne Wagana, amesema Benki hiyo inawathamini sana wateja wake, na mafanikio makubwa ambayo imekuwa ikiyapata ni kutokana na wao.
Aidha, amesema pale wateja wao wanapo ona kuna changamoto mahali, wasisite kuwasiliana na benki hiyo ili kufanya marekebisho na kuendelea kutoa huduma bora kwao.
Meneja wa biashara wa Kanda ya Magharibi Anselm Mwenda amewaeleza wateja kuweka pesa zao katika hati fungani (Green Bond) kuanzia laki 500,000/= kwa muda wa miaka 5, unapata faida isiyokatwa kodi ya asilimia 10.25 kwa mwaka. Faida hiyo mteja atawekewa kila baada ya miezi 6. Dirisha litafungwa tarehe 06/10/2023.
Kwa upande wake Mgeni Rasmi katika wiki hiyo ya huduma kwa wateja Benki ya CRDB Jackon Koyi, ambaye ni mteja maarufu wa benki hiyo zaidi ya miaka 30, amewapongeza watumishi wa CRDB kwa kufanya kazi kwa weledi,bidii, ubunifu na kutoa huduma stahiki kwa wateja wake.
Ameiomba Benki hiyo ya CRDB waendelee na utoaji wa huduma nzuri na bora kwa wateja wao,sababu ni benki ambayo inafanya kazi vizuri ndani na nje ya nchi.
Mgeni Rasmi Jackton Koyi akizungumza kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja Benki ya CRDB.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga Mjini Luther Mneney akizungumza kwenye Maadhimisho hayo ya wiki ya huduma kwa wateja Benki ya CRDB.
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumanne Wagana akizungumza kwenye Maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Meneja Biashara CRDB Kanda ya Magharibi Anselm Mwenda akizungumza kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga Mjini.
Meneja Biashara Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga Mjini Mwanahamisi Iddy akizungumza kwenye Maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Meneja wa CRDB Tawi la Shinyanga Luther Mneney akiwa na Mwenyekiti wa Mawakala wa huduma za kifedha mkoani Shinyanga Juliana Shilatu wakikata Keki kwenye maadhimisho hayo ya wiki ya huduma kwa wateja.
Mwenyekiti wa Mawakala wa huduma za kifedha Juliana Shilatu (kulia) akimlisha Keki Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga Luther Mneney.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga Luther Mneney (kushoto)akimlisha Keki Mwenyekiti wa Mawakala wa huduma za kifedha mkoani Shinyanga Juliana Shilatu.
Muonekano wa Keki.
Wateja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Wateja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Wateja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Meza kuu.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga.
Mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga akisherehesha wiki ya huduma kwa wateja.
Wateja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Wateja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Wateja wa Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga wakishirikia kifungua kinywa (Break Fast).

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Jumanne Wagana (kushoto) akimkabidhi Zawadi Mteja wa Benki hiyo Jackton Koyi.
Zawadi zikiendelea kutolewa kwa wateja wa Benki ya CRDB.
Zawadi zikiendelea kutolewa kwa watumishi wa Benki ya CRDB
Zawadi zikiendelea kutolewa kwa Wafanyakazi wa Benki ya CRDB.
Zawadi zikiendelea kutolewa kwa wateja wa Benki ya CRDB.
Maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja Benki ya CRDB Tawi la Shinyanga yakiendelea.
Picha za pamoja zikipigwa.
Picha za pamoja zikipigwa.
Picha za pamoja zikipigwa.
Picha za pamoja zikipigwa.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464