SERIKALI YAGUSWA NA JUKWAA LA UZIDUAJI LA HAKIRASILIMALI KUCHOCHEA UCHUMI WA TAIFA KWA MAENDELEO ENDELEVU

Na Marco Maduhu, DODOMA

NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga, ameipongeza Taasisi ya HakiRasilimali kwa kuandaa Jukwaa la Sekta ya Uziduaji, ambalo limekutanisha wadau mbalimbali kutoka Sekta hiyo, ambao watajadiliana namna ya kuendeleza Sekta na kukuza Pato la Taifa na Uchumi wa Nchi.

Jukwa hilo la Uziduaji limefanyikia leo Novemba 9, 2023 Jijini Dodoma, ambalo limekutanisha wadau mbalimbali wa Sekta hiyo kutoka Asasi za Kirai, Wawakilishi wa Serikali Kuu, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Makampuni ya Madini, Wachimbaji Wadogo, Wawakilishi kutoka Jamii husika, Wanataaluma na Waandishi wa vyombo vya habari na litahitimishwa kesho.
Kapinga akizungumza wakati wa kufungua Jukwaa hilo la Uziduaji akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko, ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Amesema Serikali inathamini mchango mkubwa wa Asasi za Kiraia katika Masuala ambayo yanahusu Maendeleo ya Watanzania, na kupongeza Jukwaa hilo la Uziduaji ambalo litajadili Mustakabali wa Maendeleo ya nchi.

Amesema Wizara ya Nishati vyanzo vyake vya kuzalisha Umeme vinahusiana na Sekta hiyo ya Uziduaji hususani kwenye gesi, na kubainisha kuwa Jukwaa hilo ni muhimu kwao kama Wizara.
“Mikutano ya namna hii inatusaidia Serikali kuweza kuboresha mipango yetu ili kuweza kuwanufaisha Watanzania kupitia Rasilimali za Nchi,”amesema Kapinga.

Aidha, amesema Serikali kupitia Nishati ya Umeme wameendelea kuboresha vyanzo vya Gesi, kwa kusafisha visima vya gesi vilivyopo Songosongo, Mnazibei, na Madiba, ilikuweza kuzalisha Gesi kwa kiasi kikubwa na kuzalisha Umeme ilikuondokana na changamoto ya Tatizo la Umeme hapa nchini.
Naye Mkurugenzi wa HakiRasilimali Adam Anthony, amesema Jukwaa hilo la Uziduaji yani Madini, Mafuta na Gesi Asilia, nila 13 ambalo wamekuwa wakijadili masuala mbalimbali katika Sekta hiyo, ili kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Maendeleo ya Sekta na Taifa kwa ujumla.

“Mwaka huu Jukwaa la Uziduaji tuna adhimisha chini ya Kaulimbiu isemayo” kufanikisha Mhamo wa Nishati na Mendeleo endelevu katika Sekta ya Uziduaji Tanzania,”amesema Anthony.
Aidha, amesema katika Siku hizo mbili watajadili kwa kina Ushiriki wa Wazawa katika Mnyororo wa thamani, ‘Local Content’, Mazingira Rafiki ya Uwekezaji, Haki za Binadamu, Uwazi wa Mikataba, Utoaji Lesseni, Ushiriki wa Wanawake katika Sekta na nafasi ya wachimbaji wadogo.

TAZAMA PICHA HAPA CHINI👇👇
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga akizungumza kweye Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali.
Mkurugenzi wa HakiRasilimali Adam Anthony akizungumza kwenye Jukwaa la Uziduaji.
Mwenyekiti wa Bodi ya HakiRasilimali Jimy Luhende akizungumza kwenye Jukwaa la Uziduaji.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania Nelson Kisare akizungumza kwenye Jukwaa la Uziduaji.
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga akiwa katika Jukwaa la Uziduaji.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.

Wadau wa Sekta ya Uziduaji wakiendelea na Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Uwasilishwaji wa mada mbalimbali ukiendele katika Jukwaa la Uziduaji.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Mkurugenzi wa FADeV Mhandisi Theostina Mwasha akichangia Mada kwenye Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Wadau wakiendelea kuchangia Mada katika Jukwaa la Uziduaji.
Uwasilishwaji wa Mada ukiendelea katika Jukwaa la Uziduaji.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Jukwaa la Uziduaji la HakiRasilimali likiendelea.
Uchangiaji wa Mada ukiendelea katika Jukwaa la Uziduaji.

Uwasilishaji wa Mada ukiendelea katika Jukwaa la Uziduaji.

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga (kulia) akipiga picha ya pamoja na Mkurugenzi wa HakiRasilimali Adam Anthony.

Picha za pamoja zikiendelea kupigwa na Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga.

Picha za pamoja zikiendelea kupigwa katika Jukwaa hilo la Uziduaji.

Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga akiwa katika kibanda cha TAWOMA akiangalia namna wanavyo ongeza Thamani ya Madini.
Madini yakiongezwa Thamani kwa kutengenezwa vitu mbalimbali.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464