RC MNDEME AZINDUA RASMI CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI 'TAPSE' MKOA WA SHINYANGA
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme, amezundia Rasmi Chama Cha Makatibu Mahsusi (TAPSEA) mkoani Shinyanga,na kutoa Maagizo kwa wa ajiri kuwatengea Bajeti ili washiriki vikao vya Mkoa na Taifa pamoja na kuwapatia Posho.
Uzinduzi huo umefanyika leo Decemba 7,2023 Katika ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Mkuu wa Shinyanga wa Shinyanga.
Mndeme akizungumza wakati wa kuzindua Chama hicho, amesema Makatibu hao Mahsusi ni wa Muhimu sana katika Maendeleo ya Wananchi sababu ni kiungo pia cha Serikali na Wananchi kwa kuwakutanisha na viongozi, hivyo wanapaswa kuheshiniwa na siyo kubezwa.
Amesema yeye kama mlezi wa Makatibu Mahsusi hapa mkoani Shinyanga, anataka wapatiwe haki na stahiki zao zote na siyo kunyimwa, na kutoa Maagizo kwa waajiri wote kuwatengea Bajeti zao pamoja na kuwapatia ruhusa ya kushiriki vikao vyao vya Mkoa na Kitaifa.
"Namuelekeza RAS na Wakurugenzi wote wa Halmashauri kutenga Bajeti kwa ajili ya Makatibu Mahsusi kushiriki vikao vyao vya Mkoa na Kitaifa pamoja na kuwapatia posho, na mwakani Mkutano wao wa Kitaifa utafanyika Jijini Mwanza,"amesema Mndeme.
Naye Katibu wa Chama hicho cha Makatibu Mahsusi Mkoa wa Shinyanga Beatrice Mkeha, akisoma taarifa amesema wapi wanachama hai 118 kutoka Serikalini,Taasisi binafsi na Mashirika ya Umma.
Ametaja baadhi ya Changamoto ambazo wanakabiliana nazo, kuwa ni baadhi ya Waajiri kutotenga Bajeti na kutowaruhusu kuhudhulia kwenye Mikutano yao hasa ile ya Kitaifa.
TAZAMA PICHA HAPA CHINI👇👇
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa amebeba Keki kuzindua Chama Cha Makatibu Mahsusi Mkoa wa Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Makatibu Mahsusi Zaituni Said wakikata Keki kwenye Uzinduzi wa Chama hicho 'TAPSEA'.
Viongozi wa Chama Cha Makatibu Mahsusi Mkoa wa Shinyanga wakimlisha Keki Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme (kushoto) akimlisha Keki Katibu wa TAPSEA Beatrice Mkeha.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akimlisha Keki Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Prof; Siza Tumbo.
Zoezi la ulishaji Keki likiendelea.
Zoezi la ulishaji Keki likiendelea.
Zoezi la ulishaji Keki likiendelea.
Zoezi la ulishaji Keki likiendelea.
Zoezi la ulishaji Keki likiendelea.
Zoezi la ulishaji Keki likiendelea.
Zoezi la ulishaji Keki likiendelea.
Mwenyekiti wa TAPSEA Zaituni Said akimkabidhi Zawadi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme.
Katibu wa TAPSEA Beatrice Mkeha akimkabidhi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Prof; Siza Tumbo.
Picha ya pamoja ikipigwa.
Picha ya pamoja ikipigwa.
Katibu wa TAPSEA.
Kikao kikiendelea.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Kikao cha Makatibu Mahsusi kikiendelea.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Kikao kikiendelea.
Kikao kikiendelea.
Makatibu Mahsusi wakiendelea na kikao.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.
Picha za pamoja zikiendelea kupigwa.