Mfanyabiashara Maarufu mjini Shinyanga Georgia Buyamba amezindua Duka la kipekee la Vipodozi na Manukato ‘Unique Skin & Scents’ likiwa limesheheni bidhaa mbalimbali za urembo wa ngozi na manukato kwa ajili ya wanawake, wanaume na watoto.
Duka la Unique Skin & Scents lililopo Mjini Shinyanga Mkabala na Benki ya CRDB Shinyanga limezinduliwa rasmi leo Ijumaa Mei 17,2024.
Mkurugenzi wa Unique Skin & Scents bi. Georgia Buyamba amewakaribisha wakazi wa Shinyanga na maeneo jirani kufika katika duka hilo kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya bidhaa za urembo wa ngozi na vipodozi vyenye ubora wa hali ya juu na kwa bei rahisi kabisa.
"Ninapenda kuwakaribisha sana wateja wetu, Njooni Unique Skin & Scents mjipatie bidhaa za urembo wa ngozi na manukato mazuri,. Tuna vitu vingi vizuri, vya kipekee, vyenye ubora, Original, kwa kweli tuna vipodozi na manukano ya kila aina kwa ajili ya wanaume, wanawake na watoto kutoka Dubai, UK, USA ",amesema Buyamba.
Wasiliana na Unique Skin & Scents kwa simu namba +255763814949 au +255753889105
Instagram : uniqueskin-scents
Mfanyabiashara Maarufu mjini Shinyanga Georgia Buyamba akielezea kuhusu bidhaa zinazopatikana katika Duka la kipekee la Vipodozi na Manukato ‘Unique Skin & Scents’ lililopo Mjini Shinyanga Mkabala na Benki ya CRDB Shinyanga - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mfanyabiashara Maarufu mjini Shinyanga Georgia Buyamba akionesha bidhaa zinazopatikana katika Duka la kipekee la Vipodozi na Manukato ‘Unique Skin & Scents’ lililopo Mjini Shinyanga Mkabala na Benki ya CRDB Shinyanga - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464