Askofu wa kanisa la Philadelfia miracle Temple Laizer Baraka akifundisha somo la wanandoa.
Suzy Butondo,Shinyanga press blog
Askofu wa kanisa la Philadelfia Miracle Tample Mkoani Shinyanga Baraka Laizer amewataka wanandoa wote kufuata kusudi la Mungu katika ndoa kwa kuwa mwanzilishi wa ndoa ni Mungu mwenyewe.
Hayo ameyasema leo kwenye semina ya Wanandoa inayoendelea kufanyika katika kanisa hilo lililoko katika maeneo ya Ndembezi manispaa ya Shinyanga ambayo imeanza May 6,2024 na itahitimishwa May 10 mwakaka huu.
Askofu Laizer amesema wanandoa wote wanatakiwa kufuata kusudi la Mungu katika ndoa kwa kuwa mwanzilishi wa ndoa ni Mungu mwenyewe, hivyo kila mwanandoa anatakiwa kila mwanandoa kufuata kusudi la Mungu,

Mwanzo 2:18_24 na Mathayo 19:4_6
"Ndoa ni mwanaume mmoja na mwanamke mmoja na mwanamke mmoja, yaani kuishi pamoja pasipokutegemea wazazi wao, tatizo ambalo linasumbua katika ndoa wanandoa wameangalia kwingine yaani wanawake wengine na wanaume wengine, hivyo inatakiwa kuheshimu ndoa kwa sababu ni zawadi kutoka kwa Mungu Ayubu 31:1,"amesema Laizer.
"Wawili hawa wanatakiwa kuwa kitu kimoja wenye kufurahia maisha na kufurahia tendo la ndoa muda faragha, ambapo wanandoa wanatakiwa kuzingatia mambo ya msingi ya kuzingatia katika wakati wa sasa,inatakiwa kila siku ujitafutie kibali kwa mwenzio Ruthu 2:11-13"amesema Laizer.
"Jifundisheni kumfurahia mke wako kwa sababu cha kwako ni cha kwako, wanaume wengi wanawaacha wake zao wanaenda kuwafurahia wengine na wanasahau kwamba mke wako hawezi kukubeza kwa sababu ni wako, kwani hata kama si kitamu chako ni chako tu ukiona anafanya mambo ambayo huyaelewi mwenzio ni vizuri kumrekebisha Mithali 5:15-18, Wimbo uliobora 4:1-7 na Ruthu 3:1-4,,"ameongeza Laizer.
Aidha amewataka wanandoa wasichanganye kanisa na mapenzi wasiwe washamba, hivyo wanatakiwa kutoa huduma bora mwanaume na mwanamke, ambapo amewataka wanaume wajifundishe kuwafurahia wake zao kila wakati ikiwa ni pamoja na kufundishana pale unapoona mwenzako hayuko sawa.
"Pia wanandoa mnatakiwa kuzingatia usafi ili mwenza wako aweze kujisikia vizuri unapokutana nae, pia mjifunze kujishughulisha katika wakati wa kufanya tendo la ndoa
Pia askofu Laizer amewaomba wanandos wote wa manispaa ya Shinyanga kuhudhulia kwenye semina ya wanandoa ambayo tayari ilianza May 6,2024 katika kanisa hilo lililopo katika kata ya Ndembezi manispaa ya Shinyanga ambayo itahitimishwa May 10 mwaka huu.
Askofu Laizer amesema lengo la semina hiyo ni kukumbushana mambo mbalimbali wanayoyasahau kuyafanya wanandoa kwa wenza wao, hali ambayo imekuwa ikisababisha ndoa nyingi kulega lega kutokana na kujisahau, hivyo zinatakiwa zifufuliwe upya na kila mmoja aweze kufanya jukumu lake.
Semina imeanza juzi katika kanisa la Philadelfia Miracle Temple lililopo katika maeneo ya Ndembezi, ukitokezea East mbezi moja kwa moja unaelekea barabara ya machinjioni kabla ujafika kuna daraja mbele kidogo utaona ubao umeandikwa Philadelfia Miracle Temple, karibuni sana na Mungu awabariki
Askofu wa kanisa la Philadelfia miracle Temple Laizer Baraka akifundisha somo la wanandoa
Wanandoa waliohudhulia kwenye semina hiyo wakisikiliza kwa makini mafundisho hayo

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464