Header Ads Widget

JINSI NILIVYOTAPELIWA FEDHA NILIZOKUSANYA KWA MIAKA MITANO


Jinsi nilivyotapeliwa fedha nilizokusanya kwa miaka mitano

Jina langu ni Zabloni, unajua migogoro ya mashamba na viwanja ni mingi sana kwenye mahakama zetu, na yote inasababishwa na watu ambao si waaaminifu, mtu anaweza kuuza shamba lake leo, kisha kesho anamtafuta tena mtu mwingine na kumuuzia.

Nasema hivyo kwa sababu mimi ni miongoni mwa watu ambao wameweza kukumbana na changamoto hiyo, niliweza kununua kiwanja nje kidogo ya jiji la Nairobi kwa fedha nyingi tu ambazo nilizikusanya kwa muda mrefu kama miaka mitano.

Wakati napambana niweze kupata fedha za kuanza ujenzi, nilishtuka kuona kiwanja changu kuna ujenzi mwingine umeanza, nilipoenda kumuuliza anayejenga, aliniambia na yeye kauziwa kiwanja hicho na nyaraka muhimu anazo.

Nilihisi kuchanganyikiwa kabisa, mwili uliishiwa nguvu maana fedha zangu nimezipata kwa kuhangaika usiku na mchana, kwa kujinyima sana, matokeo yake ndio haya?, ilikuwa ni vigumu sana kuweza kukabiliana na hali hiyo.

Kila ambapo nilijaribu kumpigia yule ambaye aliyeniuzia kiwanja kile namba yake ilikuwa haipatikana, nilijaribu kuchunguza na kuripoti kisa hicho Polisi, ndipo nikagundua mtu yule ni tapeli na amefanikiwa kuwatepeli watu wengi.

Binafsi nilishindwa nifanye kitu gani hasa, nilikuwa nashinda tu nyumbani nikiwa na mawazo, rafiki yangu mmoja alipata habari kuhusu mkasa huo, hivyo aliamua kuja nyumbani kunipa pole.

Aliniambia nisiwe na mashaka kwani kuna Kiwanga Doctors anaweza kunisaidia na kupata haki yangu, alichukua simu yake na kumpigia na kumueleza jambo hilo la kitapeli.

Nashukuru Kiwanga Doctors alinifanyia jambo ambalo kamwe siwezi kuja kulisahau katika maisha yangu, baada ya kunifanyia tiba zake, siku chache mbele nilipata kupigiwa simu na Polisi na kuniambia yule mtu aliyenitapeli kakamatwa.

Niliweza kufika Polisi na kuonana naye, aliponiona tu alikiri ni kweli aliniuzia kiwanja ambacho alikuwa ameshakiuza kwa mtu mwingine, alikiri pale pale kuwa atarudisha fedha zangu zote na fidia ya usumbufu ulioweza kujitokeza.

Basi tulitoka pale Polisi na kwenda Benki na kunirudishia fedha zangu, kisha Polisi wakarudi naye kituoni kuendelea naye upande wa sheria maana watu wengi walikuwa wanamlalamikia kwa utapeli. Naweza kusema kama sio Kiwanga Doctors, basi fedha zangu zilikuwa zimekwenda na maji.

Mpigie Kiwanga Doctors kwa namba +254 769404965 au kwa maelezo zaidi www.kiwangadoctors.com.

Post a Comment

0 Comments