Header Ads Widget

BOB WANGWE AMTAKA NAPE KUJIUZULU


Bob Wangwe amtaka Nape kujiuzulu


Mkurugenzi wa Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA), Bob Wangwe.


Mkurugenzi wa Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA), Bob Wangwe amemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, kujiuzulu katika nafasi yake kwa kile alichodai kutoa kauli inayokiuka maadili ya uongozi.

Akizungumza na Nipashe, Bob amesema kauli aliyoitoa kiongozi huyo kuhusu kushinda kura nje ya boksi la kura inaonesha utovu wa kimaadili alionao kiongozi huyo.

SOMA HAPA ZAIDI CHANZO NIPASHE

Post a Comment

0 Comments