MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA SHULE YA LITTLE TREASURES YAANZA RASMI, TIMU ZA MPIRA WA MIGUU KUCHUANA

 

Na Mwandishi wetu- Malunde 1 blog

Shule ya Little Treasures iliyopo Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga inaadhimisha miaka 13 tangu ilipoanzishwa mnamo mwaka 2011 na kuanza kutoa elimu.

Maadhimisho hayo yameanza leo Julai 13, 2024 yakiambatana na michuano ya mpira wa miguu katika viwanja vya michezo vilivyopo shuleni hapo ambapo maadhimisho yanatarajia kufikia tamati ifikapo Julai 27, 2024.

Katika mchezo wa ufunguzi wa maadhimisho hayo umepigwa leo ukizikutanisha timu mbili ambazo ni Little Treasures dhidi ya timu ya Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Shinyanga SHUWASA ambapo mchezo huo umemalizika kwa kufungana goli 2 - 2.

TAZAMA VIDEO

<<<<<TAZAMA PICHA>>>>>

Timu zote mbili zikiwasili uwanjani kwa ajili ya kuanza mashindano.
Mchezo ukiendelea.
Mchezo ukiendelea.
Mchezo ukiendelea.
Mchezo ukiendelea.
Mchezo ukiendelea.
Mchezo ukiendelea.
Mchezo ukiendelea.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464