Header Ads Widget

MBUNGE KATAMBI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI ZA WILAYA, ATOA YA MOYONI

Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu za kata

Suzy Butondo, Shinyanga press blog

Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini ambaye pia ni naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi ajira na wenye ulemavu, Patrobas Katambi leo amezungumza na wajumbe wa halmashauri kuu za kata na kuwaasa kuwa waendelee kuunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Hayo ameyasema leo Julai 11,2024 wakati akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu  kutoka kata sita za wilaya hiyo ambapo aliwaomba waendelee kumuunga mkono Rais kwa kazi kubwa anazozifanya ambazo zimeleta mabadiliko makubwa kwenye jamii na kuwaomba wakayasemee kwa wananchi ili waweze kujua kilichofanyika mpaka sasa.

"Mimi leo nimekuja hapa tuonane na kukumbushana kwa haya yaliyofanyika katika jimbo letu, katika maeneo mbalimbali , wananchi wengi walikuwa hawana umemel akini sasa kuna umeme., kuna maeneo ambayo yalikuwa hayajafikiwa kabisa lakini yamefikiwa bado kuwekewa nguzo tu,lakini si muda mrefu watapata umeme, na tunampango mkakati wa kumaliza changamoto za aina yeyote katika maeneo yetu, kwani tumefanya maendekeo kwa asilimia 99 mpaka sasa"amesema Katambi.

Kwa upande wake Meya wa manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko amewaomba wajumbe wamuunge mkono Rais na Mbunge wa jimbo hilo Patrobas Katambi kwa kufanya maendeleo makubwa,ambapo kabla mbunge Katambi hajaingia madarakani walikuwa na bajeti ya Shilingi Bilioni 2 lakini kwa sasa wana bajeti ya bilioni sita ambapo wanajipanga wafikishe zaidi ya bilioni 8.

"Niwaombe muwahamasishe wananchi wanaponunua vitu mbalimbali wahakikishe wanadai risiti ili tuweze kuongeza mapato yetu, na tuwaunge mkono viongozi wetu waliopo madarakani ili waweze kufanya mabadiliko katika wilaya yetu na Taifa kwa ujumla,"amesema Meya Masumbuko.
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu za kata
Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi akizungumza na wajumbe wa halmashauri kuu za kata
Wajumbe wa halmashauri kuu za kata wakimsikiliza mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini Patrobas Katambi

Post a Comment

0 Comments