
Mbali na mambo mengine, Waziri Ridhiwani Kikwete ametembelea banda la Amref Tanzania na kuelezwa namna AmrefTanzania inavyounga mkono juhudi za serikali katika kuhakikisha miradi mbalimbali inayotekelezwa na shirika kwa kushirikiana na wadau wake inavyolenga kutatua changamoto zinazowakabili (vijana) katika masuala ya Afya ili kuboresha maisha yao na jamii kwa ujumla.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni; “Vijana na Matumizi ya Fursa za Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu”.
