Header Ads Widget

MWENGE WA UHURU WAENDELEA KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA SHINYANGA

MWENGE WA UHURU WAENDELEA KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA SHINYANGA

Na Marco Maduhu,SHINYANGA
MWENGE wa uhuru umewasili manispaa ya Shinyanga na tayari umeanza kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mwenge huo umekabidhiwa leo Agosti 11,2024 katika Manispaa ya Shinyanga ukitokea wilayani Kishapu.

Katibu tawala wa wilaya ya Shinyanga Said Kitinga akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Mwenge huo na Katibu Tawala wa wilaya ya Kishapu Fatma Mohamed kwa niaba ya wakuu wa wilaya, amesema katika Manispaa hiyo utakimbizwa kilomita 74.5 na kupitia miradi 10 ya maendeleo yenye thamani ya Sh.bilioni 4.2.

Post a Comment

0 Comments