Header Ads Widget

MAKAMBI YA WASABATO MTAA WA SHINYANGA MJINI YAMEHITIMISHWA YAKIWA NA UJUMBE NITAKWENDA NA FAMILIA YANGU

Makambi ya Kanisa la Waadventista Wasabato Mtaa wa Shinyanga Mjini yamehitimishwa yakiwa na ujumbe usemao nitakwenda na familia yangu.

Makambi hayo yalianza Agosti 10 mwaka huu,katika Kanisa Mama la Wasabato Shinyanga Mjini, na yamehitishwa leo siku ya Jumamosi Agosti 17,2024.

Makambi hayo yalikuwa yakiongozwa na Mchungaji Methusela Masunga na hufanyika kila mwaka katika Makanisa ya Wasabato kwa nyakati tofauti tofauti.

TAZAMA PICHA HAPA CHINI👇👇
Mchungaji Methusela Masunga.
Wachungaji wakiwa kwenye Makambi.

huduma za uimbaji zikitolewa kwenye makambi hayo.






huduma za uimbaji zikiendelea kutolewa kwenye makambi hayo.

Post a Comment

0 Comments