Header Ads Widget

KATIBU MKUU WA CCM BALOZI DK.NCHIMBI NDANI YA KAHAMA

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi akiwasili ndani ya wilaya ya Kahama, kwa ajili ya ziara ya kuimarisha uhai wa chama,kuona miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara.

Huu ni mwendelezo wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM  Dk.Nchimbi katika Mkoa wa Shinyanga,ambayo alianza jana Oktoba 9,2024.

Post a Comment

0 Comments