Mbunge wa jimbo la Kishapu Boniphace Butondo,ameshiriki kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye kituo cha kitongoji cha Nzugimtogwe Lagana.
leo novemba 27 2024 nchini Tanzania, kumefanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuchagua Mwenyekiti wa kijiji,kitongoji, Mtaa na wajumbe ambao wataongoza wananchi ndani ya miaka mitano hadi 2029.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464