MBUNGE WA KIGAMBONI FAUSTINE NDUGULILE AFARIKI DUNIA


TANZIA Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024.

Taarifa ya Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson imeeleza kuwa kifo cha Dk. Ndugulile ambaye alikuwa Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, kimetokea nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.

Chanzo NIPASHE
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464