
Mgombea nafasi ya Uenyekiti Mtaa wa Songambele Kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga,Salum Milambo akinadi sera zake kwenye mkutano wa kampeni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27.

Katibu wa CHADEMA Kata ya Kitangili Ally Juma akizungumza kwenye mkutano wa Kampeni katika Mtaa wa Songambele

Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Shinyanga Mjini Hamis Ngunila akizungumza na wakazi wa Kata ya Kitangili,kupitia mkutano wa kampeni wa kuwanadi wagombea

Mgombea nafasi ya uenyekiti Mtaa wa Kitangili Sipola Masibuka, akizungumza na wakazi wa Kata ya Kitangili kwenye mkutano wa Kampeni

Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Shinyanga Mjini Hamis Ngunila akizungumza na wakazi wa Kata ya Kitangili,kupitia mkutano wa kampeni wa kuwanadi wagombea

Mgombea nafasi ya uenyekiti Mtaa wa Busulwa Seleman Majaliwa, akizungumza na wakazi wa Kata ya Kitangili kwenye mkutano wa Kampeni

Mwenezi wa Chama cha CHADEMA Kata ya Kitangili Ramadhan Kuzenza


Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Shinyanga Mjini Hamis Ngunila akimnadi mgombea kwenye mkutano wa kampeni.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464