MAHINYILA MWENYEKITI MPYA WA BAVICHA


Mahinyila mwenyekiti mpya Bavicha
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Deogratius Mahinyila akiwa amebebwa na wajumbe baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi uchaguzi huo ulioanza jana na kutamatika leo, Januari 14, 2025 jijini Dar es Salaam. 

Chanzo Mwananchi soma hapa zaidi.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464