KARIBU GVEN T- SHIRT CLOTHING STORE KWA TISHETI ZA KIPEKEE

 

Kampuni maarufu ya Gven Wear, inayosifika kwa ushonaji wa nguo, embroidery, laundry, na mitindo ya harusi, sasa imezindua duka jipya la Gven T-Shirt Clothing Store!

Hii ni fursa yako ya kupata Round Collar T-ShirtV-Neck Collar T-Shirt na Form Six T-Shirt kwa bei nafuu ya rejareja na jumla kwa ubora wa kipekee!

Pia wanauza: 

🔹 Tracksuits
🔹 T-Shirts
🔹 Masweta ya wanafunzi
Kwa bei ya jumla kwa shule mbalimbali!

🎉 Huduma za Embroidery pia zinapatikana kwa T-Shirt aina zote ili kutoa muonekano wa kipekee na wa kisasa!

🛍️ Gven T-Shirt Clothing Store inapatikana Shinyanga Mjini, jirani na Butogwa, mkabala na ofisi za Gven Wear na Benki ya NMB Manonga.

📞 Wasiliana nasi sasa kwa: 0767926671

Usikose! Uwepo wetu Shinyanga unaleta mtindo wa kipekee na huduma bora!

#GvenTshirtStore #ShinyangaFashion #MitindoYaGven #UshonajiNaEmbroidery #TshirtZaKipekee

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464