KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi *(CCM) Ndugu. Ally Salum Hapi (MNEC),* anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi Tarehe *24/01/2025* katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Shinyanga Mjini.
Katika mkutano huo Ndugu Ally Hapi, atapokea taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Mwaka 2020 -2025 kutoka kwa *Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Mhe. Patrobas Katambi,* ambaye pia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu).
*Imetolewa na Idara ya Oganaizesheni ya Jumuiya ya Wazazi Taifa*
*#WazaziMpangoMzimaNaRaisSamia2025*
*#WazaziTunakwendaNaMwinyiZanzibar2025*
*#WazaziInjiniyaChama*
*#WazaziTukoImara2025*
*#WazaziMstariWaMbeleUchaguziMkuu2025*
*#UchunguWaMwanaAujuayeMzazi*
*#MwanaUmleavyoNdivyoAkuavyo*