MWENYEKITI WA UWT WILAYA YA SHINYANGA MJINI AWAKARIBISHA WAJUMBE KWENYE BARAZA,ATAMKA MAKUBWA

Mwenyekiti wa  Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Shinyanga mjini Rehema Nhamanilo anawakaribibisha wajumbe wote wa baraza la UWT wilaya ya Shinyanga mjini kufika kwenye kikao cha baraza hilo, kitakachofanyika kesho katika ukumbi wa  Karena Hotel mjini hapa. 

Amesema kikao hicho kitakachofanyika kesho kitaanza mnamo majira ya saa 3:00 hivyo mjumbe yeyote atakayeona ujumbe huu amtaarifu na mjumbe mwenzake. 

Aidha Nhamanilo amewapongeza wote waliofanikiwa kufanya maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi CCM na kuwataka wale ambao bado waendelee na maadhimisho hayo kwa ajili kukienzi Chama Cha Mapinduzi CCM. an 

"Niwatakie maandalizi mema na niwaombe tuendelee kuzisemea kazi kubwa zilizofanywa na mama yetu Samia Duluhu Hasan kwa kushirikiana na wabunge wetu, kazi iendelee" amesema Nhamanilo. 

Wanawake motomootooooo

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464