MKUTANO WA MWAKA WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI NCHINI UKIENDELEA DODOMA

MKUTANO WA MWAKA WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI NCHINI UKIENDELEA DODOMA

Na Marco Maduhu, DODOMA

MKUTANO wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini ukiendelea Jijini Dodoma.

Mkutano huo ulianza kufanyika jana Februari 13 na unahitimishwa terehe 14,2025 katika ukumbi wa new Gereration,ambao umeandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.

Mkutano huo umetawaliwa na mijadala mbalimbali, kwa ajili ya uboreshaji wa Tasnia ya habari na Sekta nzima.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464