UJANJA NILIOTUMIA KUPATA KAZI HARAKA BAADA YA KUMALIZA MASOMO


Ujanja niliotumia kupata kazi haraka baada ya kumaliza masomo
Naitwa Emmanuel kutokea Morogoro, kipindi naingia Chuo Kikuu nilikutana na mtu mmoja na kuniambia kuwa kwa sasa mambo ya mabadilika sana upande wa soko la ajira duniani kote, aliniambia wahitimu ni wengi na hawana kazi.

Na kweli kila nilipokuwa natazama mtaani niliona vijana wenzangu ambao wamemaliza Chuo kwa miaka mingi ila bado hawajaweza kuajiri iwe serikali au sektaba binafsi.

Basi mtu mtu yule aliniambia wakati nikiwa Chuo nijaribu kufikiria kuhusu hilo na kuwa na mbinu ambayo itakayoniwezesha pindi nitakapomaliza Chuo nisikae mtaani kwa kipindi kirefu kama wenzangu.

Katika kufanyia hilo utafiti mtandaoni na kusoma shuhuda za watu mbalimbali wakielezea jinsi ambayo waliweza kupata kazi baada ya kusumbuka kwa kipindi kirefu, ndipo nikakutana na tovuti ya Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya.

Huko nilisoma kwa makini kuhusu huduma zao lakini kikubwa zaidi nilivutiwa kuhusu wao kuwasadia watu kupata ajira. Basi nilimuambia kuwa nakaribia kuhitimu Chuo Kikuu hivyo naomba niweze kupata kazi mapema.

Sitaki kukaa muda mrefu bila kazi maana wazazi wangu hawana uwezo hata kusoma kwangu imekuwa kwa shida sana. Nimesaidiwa na ndugu hadi kuweza kuhitimu masomo yangu.

Aliniambia nisiwe na shaka kwani nitapata kazi kama ninavyotaka, ndipo akanifanyia job spells, na kweli baada ya kumaliza mtihani wa mwisho niliamua kuomba kazi katika shirika moja lisilo la kiserikali.

Kwa bahati nzuri wakati naenda kuomba hiyo kazi na wao walikuwa wanatafuta mtu mwenye sifa kama zangu.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464