DAUDI JEGI LUSANJA AOMBA MSAADA WA MATIBABU ANASUMBULIWA NA TATIZO LA KIBOFU CHA MKOJO

DAUDI JEGI LUSANJA

Mkazi wa Kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga, ambaye pia nyumbani kwao ni Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.

Anaomba kupatiwa msaada wa matibabu,ambapo anasumbuliwa na kibofu cha mkojo na kwamba hali yake inazidi kuwa mbaya.

Yeyote mwenye kuguswa awasiliane naye kwa simu namba

068-0408335
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464