KATAMBI ATINGA NA MKOKOTENI LUBAGA
Na Marco Maduhu,SHINYANGA.
MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi,ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye ulemavu,amepokelewa kwa kishindo na wananchi wa Kata ya Lubaga, kwa ajili ya kuwaeleza mambo ambayo ameyatekeleza kwa kipindi cha miaka Minne ya Ubunge wake.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464