

Magazeti








Mrembo alia kisa kukosa mwanaume mwaminifu!
Jina langu naitwa Serina, umri wa miaka 26, mimi ni msichana mzuri kisura pia kitabia kutokana na jamii ninayo ishii wanavyonambia, hata mimi mwenyewe nikijitazama naona kuwa nimetimia kila mahali kwa sababu nina kila sifa ambayo mwanaume anapenda kwa mwanamke.

Shida yangu kubwa ambayo imenifanya niandike ujumbe huu nahitaji kupata ushauri kutoka kwa watu mbalimbali ili niweze kujua jambo gani la kufanya kwa sababu nimeumia kwa muda mrefu sana na kujiuliza mimi mwenyewe maswali mengi bila kupata majibu sahihi ambayo yanaweza kutatu shida yangu.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464