Baada ya kufanya hivi, madeni nayo yameniachia!
Nakumbuka katika maisha yangu, niliwahi kupitia hali ya kupata fedha mwisho wa mwezi lakini yote inaishi kwenye kulipa madeni yangu, kusema kweli ni hali ambayo ilikuwa ikiniumiza sana.

Ilifika wakati nikahisi ya kuwa nimekuwa mtumwa wa kufanyia watu kazi maana kila nilipopokea mshahara wote uliishia kwenye kulipa madeni na mimi kubakiwa na nauli tu ya kwenda kazini kwangu.