MKE WA MTU AZUA TAFRANI MJI MZIMA


Mke wa mtu azua tafrani mji mzima

Kizaa zaa kilitokea katika hoteli moja maeneo ya mjini wakati ambapo umati wa watu ulifurika katika hoteli moja mjini humo wakitaka kujionea, Mwanaume na mke waliokua wamenaswa wakifanya tendo la ndoa, nje wa ndoa zao.
Kila mtu aliyekuwa eneo hilo alitaka kufika kujionea wapenzi hao wawili wanaosemekana, kukwamana walipokua wakishiriki tendo la ndoa, Iliwalazimu walinda usalama kutumia vituo machozi kuwatawanya watu hao waliokuwa wanaongezeka eneo hilo kwa wingi.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464