Mbinu niliyotumia kumaliza ugomvi na Baba yangu!
Baraka kutoka kwa mzazi huwa jambo nzuri sana katika maisha ya kila mtu. Watu wengi ambao huwa na shida za kutowaheshimu wazazi hujipata kwenye njia panda maishani kwani laana sampuli tofauti huwafata kila wanakoenda.

Baba yangu alikuwa ni mtu mkali ambaye hakupenda mzaha wakati wowote ule. Suala lile lilinipelekea kuwa na msimamo hasi kumhusu kwani mara mingi sikupenda wala kuzingatia maneno aliyoniambia.