ALIMSHIKA MAMA MTOTO MKONO NA KUINGIA NAYE NDANI,SIMULIZI YA KUTISHA


“Alimshika mama mtoto mkono na kuingia naye ndani,” simulizi ya kutisha


Miaka kama miwili iliyopita mtoto wa dada yangu alipotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa anacheza na wenzake karibu na eneo la nyumbani kwao, hakuna aliyejua ni wapi alipotokomea.

Mzazi wake alipita kila nyumba kumuulizia lakini hawakuweza kumpata, tulimsaidia kumtafuta hadi vijiji vya jirani ila hatukuweza kufanikwa kumpata, tuliamuaa kuripoti kisa hicho kituo cha Polisi ambao nao walianza kumsaka.

Ila kwa umri wa mtoto yule, miaka mwili na nusu tulijua tu kuna mtu kambeba maana asingeweza kutembea kwenda mbali, mama yake aliamua kuacha na kazi akaanza kumtafuta maeneo mbalimbali lakini hakufanikiwa kwa muda mrefu.

Kutokana na kuacha kazi na kuanza kumtafuta mtoto wake, mama yule ambaye ni dada alianza kuishi maisha duni kutokana na ukosefu wa kipato pamoja na kuwa na msongo wa mawazo, hadi hali yake ya kiafya ilidhohofika sana.

Nikiwa kama mwanamke mwenzake na pia ndugu yake, kila mara nilienda kumtembelea kwa lengo la kumfariji na kumpelekea chochote kitu kama chakula na kumsaidia shughuli ndogo ndogo za pale nyumbani na kupiga stori.

“Mdogo wangu nimesikia kwa mtu kuwa kuna mtalaam wa tiba za kiasili ambaye anaweza kunisaidia kumpata mtoto wangu, nimeambiwa anaitwa Kiwanga Doctors, sijui ushawahi kumsikia?,” aliniuliza dada yangu.

Binafsi ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kusikia jina hilo, basi ikabidi niwashe data ya simu yangu na kuanza kumtafuta huyo Kiwanga Doctors katika mtandao wa google, tulitafuta kwa muda hadi pale tulipokutana na utitiri wa habari zake njema.

“Yeah, bila shaka ndio huyo, inaonyesha amewasaidia watu wengi, mdogo wangu niandikie hii namba katika simu yangu, fanya haraka, andika namba hii +254 116 469840 niongee naye nione ni jinsi gani anaweza kunisaidia,” alisema dada yangu kwa bashasha.

Tuliamua kufanya naye mawasiliano mara moja, alifanya matambiko yake kwa muda mfupi na kutuambia mtoto yupo eneo la jirani tu na sio nyingi atapatikana hivyo tupunguze ofu kubwa ambayo tulikuwa nayo kama wazazi na walezi wake.

Siku iliyofuata jirani yetu mmoja mtu mzima alianza kulia kama mtoto mchanga, alilia kwa sauti kubwa kuanzia asubuhi hadi usiku, ilifika hatua hadi sauti ikawa inamuishia, hakuweza kuzungumza chochote zaidi ya kulia jambo lilovua umati wa watu.

Basi nilifahamu huyu ndiye aliyekuwa amemficha yule mtoto, nilienda kwa dada yangu na kumuomba tuende hapo licha kuwa kuna umati mkubwa wa watu.

Tulifika na mara tu alipomuona mama mtoto alinyamaza na ndipo watu nao walizidi kusogea kujua nini kinaendelea, alimshika mama mtoto mkono na kuingia naye ndani na kumuonyesha chumba alichokuwa amemficha.

Tulimchukua mtoto, wakati tunataka kuondoka alianza tena kulia kama mtoto mchanga, na hapo ndipo tulipompigia tena simu Kiwanga Doctors kuomba muongozo wake kuhusu jambo hilo. Kiwanga alimpigisha faini aliyeiba mtoto, kisha kutoa maelekezo anayopaswa kufanya ili hali kurejea kawaida.

Naweza kusema tangu wakati nimekuwa nikimwamini sana Kiwanga Doctors ambaye ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao, www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464