Dawa ya mvuto wa mapenzi yenye matokeo ya haraka kwa wanaume

Katika hali ya kutatanisha,wanawake wawili katika mji wa Katoro waliingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuzua tafrani kuhusu mwanaume mmoja aitwaye Adam ambaye imekuja kubainika ametumia dawa za mvuto wa mapenzi.
Tukio hilo ambalo limesababisha mji huo kugubikwa na minong’ono, lilijiri katikati ya eneo la soko hilo lenye shughuli nyingi na kuvuta umati mkubwa wa watu.