Ndugu yangu alivyoweza kuacha dawa za kulevya!
Uraibu wa dawa za kulevya ni suala ambalo huwa changamoto sana hasa kwa kizazi cha siku hizi, watu wengi hupoteza kazi, hufa, huwa na afya mbaya kwa ajili tu ya uraibu wa dawa za kulevya.

Nilikuwa na ndungu yangu mdogo ambaye hapo awali alikuwa ni mtu mcha Mungu ambaye hakuwa na masuala mengi katika maisha yake.