Fisi waua kondoo 21 Bariadi, wengine 9 hawajulikani walipo

Kondoo waliouawa na fisi.
Fisi wamevamia na kuua kondoo 21, huku wengine tisa wakiwa hawajulikani walipo, katika tukio lililotokea mtaa wa Mahina, kata ya Somanda, katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi, mkoani Simiyu.