‘Mzee wa Ubwabwa’ aita wananchi kuchukua fomu bure, kuwania uongozi

Picha: Mtandao
Hashim Rungwe, Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma)
CHAMA cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kimetangaza fursa kwa wananchi wenye nia ya kugombea nafasi za udiwani na ubunge, kuchukua fomu bure ndani ya chama hicho.
Hatua hiyo ni sehemu ya juhudi za chama katika kuhamasisha na kuwapa nafasi wananchi wenye malengo ya kushika nafasi za uongozi, ili kuleta mabadiliko na maendeleo kwa jamii yao.
SOMA ZAIDI CHANZO NIPASHE.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464