BILA HIVI MKE WANGU ANGE ENDELEA KUNINYIMA


Bila hivi mke wangu angeendelea kuninyima….!

Kwa kawaida ndoa huwa rahisi kwa mtu ambaye hajawahi kuingia kwenye ndoa yenyewe, kwa ufahamu wangu suala zima la ndoa ni ngumu sana haswa ukipata mpenzi asiyekuelewa kwa vyovyote vile ama aliye na kazi nzuri kukuliko wewe kama mume.
Mapenzi huwa na mambo mbalimbali ambayo watu wengi huwa hawayazungumzii kwa undani kwa kuogopa kuchekwa na marafiki wao wa karibu, wao husahau kwamba wanapozungumza msaada unaweza kuja kwa wakati wowote.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464