UJUMBE MUHIMU WA USHINDI WA WANAFUNZI WOTE


Ujumbe muhimu wa ushindi kwa wanafunzi wote

Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi sikuwa mwanafunzi mwenye akili darasani, kila mara nilikuwa mtu wa mwisho kiasi kwamba hadi wanafunzi wenzangu walikuwa wananicheka na kunikejeli.
Walimu mwenyewe walikuwa wanatambua sikuwa na uwezo mzuri wa kimasomo na hadi naweza kusema walishakata tamaa na mimi na kuamini sitoweza kuja kubadilika.

Hata nilipofeli shule ya msingi wengi walisema hatukutegemea kama wewe utaweza kuja kufaulu masomo maana tunajua uwezo wako ilivyokuwa mdogo kimasomo.


Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464