NILIVYOFUKUZWA KAZI BILA HATA MSHAHARA

Nilivyofukuzwa kazi bila hata mshahara

Maisha huwa na changamoto zake na watu huweza kuzipitia kwa njia mingi. Watu wengine hupoteza imani kabisa na hata wengine hufikia mahali pa kijitoa uhai.

Hii ilikuwa ni sawia kabisa na hali katika maisha yangu. Jina langu ni Musa, nilikuwa tu ndio nimefuzu kutoka katika chuo kikuu hapa mjini na sikukaa muda mrefu bila kupata ajira katika kampuni fulani ya mawasiliano.

Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464