DONALD TRUMP ATANGAZA VITA VYA KIBIASHARA DHIDI YA ULIMWENGU


Donald Trump atangaza vita vya kibiashara dhidi ya ulimwengu

Chanzo cha picha,Reuters

Donald Trump ameanzisha vita vya kibiashara dhidi ya ulimwengu baada ya zaidi ya miezi miwili ya maandalizi ya tukio kuu la muhula wake wa pili.

Katika sherehe iliofanyika katika katika Ikulu ya White House Rose Garden, Trump alitangaza siku ya tarehe 2 mwezi Aprili kama "Siku ya Ukombozi" wa Marekani na akatangaza kwamba angetoza ushuru bidhaa zinazoingia nchini humo ambazo hazijaonekana tangu mwanzoni mwa karne iliyopita.

SOMA ZAIDI CHANZO BBC SWAHILI.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464