KATAMBI AKUTANA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM SHINYANGA MJINI DODOMA
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi (Mb) amekutana na kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shinyanga Mjini walipokutana nao (Siku ya Jumatatu Aprili 14, 2025) jijini Dodoma.
Kama una Taarifa, Habari, Tangazo n.k Wasiliana nasi kupitia shinyapress@gmail.com au +255 788 469 464