Kwa wiki moja natengeneza hadi Sh700,000
Naitwa Elisha, ni mkazi wa Tanga ambaye ajishughulisha na biashara ya kuuza vyombo vya ndani. Tangu mwaka 2016 nimefanya hii biashara kwa miaka mingi ila maendeleo hamna zaidi ya kulipa kodi pamoja na kupata chakula tu.

Niliweza vumilia hali hiyo kwa muda wa miaka 2 hadi ikafikia hatua nikaamua kuhama mtaa kwenda mtaa mwingine nikidhani kuwa kuna mtu ananiloga haswa nilivyokuwa natazama watu wanaofanya biashara kama yangu wana maendeleo na mimi sina.